HARUNA Niyonzima kiungo mchezeshaji wa Klabu ya Yanga ameoa mke wa pili jijini Dar es Salaam.
Taarifa zinaeleza mwanadada huyo aitwaye Cassandra Rayan na Niyonzima wamefunga ndoa ya kimyakimya.
Nahodha Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul Mnyamani ndiye alikuwa best wakati ndoa ikifungwa.