Nifanyaje ili niache tabia ya kupenda Majimama??

Mimi ni kijana wa Miaka 21 , Na umri wangu huu mdogo lakini nimesha experience vitu vingi katika mapenzi...mwanamke wangu wa kwanza alikuwa na miaka 41 mimi nikiwa namiaka 19, toka kipindi hicho mimi nimekuwa nikipenda wanawake wazima wenye umri mkubwa...na cha ajabu kila nikiwatongoza wanakubali wengi wao ni wake za watu ...

Madhara ya Kufanya Mapenzi Kipindi cha Hedhi


Sasa imenikaa akilini nikimpata msichana mdogo siridhiki kabisa na mwishowe namuacha natafuta Mwanamke aliye nizidi umri...Tatizo wengi wao wameolewa sasa tunafurahishana tu alafu wanawahi kwa wanaume wao..Naombeni ushauri..

Je nifanyenje hizi feelings za kupenda majimama ziiishe?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post