Awali kabla ya kuachana na mwanamuziki wa TZ Diamond Platinumz, Tanasha alikuwa ameripotiwa kusilimu baada ya dadake Diamond Esma kudai kwamba msanii huyo alikuwa tayari amesilimu alipokuwa katika uhusiano na Diamond .
Tanasha hata hivyo amekuwa kimya kuhusu hilo lakini mwanahabari wa KTN Jamal Gaddafi ndiye aliyebainisha na kuthibitisha wazi kwamba ni kweli Tanasha sasa ni muislamu na pia atakuwa katika mfungo mwezi huu wa ramadhan .
KUCHAPIWA...Nawaonea Huruma WANAUME Ambayo Hawaendi GYM na Wanawaruhusu Wake zao Kwenda Gym
Gaddafi aliiweka picha akiwa na Tanasha wakati wa iftar akisema ndio ilikuwa iftar ya kwanza ya Tanasha, sasa Aisha .
Jamal pia aliwapa rai waislamu wengine kumuunga mkono Aisha katika safari yake mpya kwenye uislamu
hanif_physique
Some will be soooo fast to judge. Kuweeni wapole and support her. Si kaazi yeeenu kumuhukumu but as a Muslim I should be friendly to her and welcome her sio faster mwatafuuuta kasoooro
Tags
WASANII