Bifu kubwa Kati Ya Ebitoke na Mama Ashura. Mkasaa Huu Umetokea Baada Ya Ebitoke Kusemekana Kua Alitoka Kimapenzi na Mume wa Mama Ashura "Timos" na Hivyo Ndivyo Alivyo Sema Hataki Kumuona Ebitoke Kwenye Msiba Wake, Hata Yeye Mwenyewe Mama Ashura Hato Hudhuria Kwenye Msiba Wake.