USHAURI: Wasichana Tunzeni Bikira zenu Mpaka Mtakapoolewa


Najua wapo watakaopinga na kuona kuwa sio issue kuolewa na bikira, lakini UKWELI NI KWAMBA KUOLEWA ILI HALI BADO NI BIKIRA NI FAHARI SANA NA NI HESHIMA PIA KWA WAZAZI!

Binafsi nilibahatika kuolewa nikiwa bikira, aisee mume wangu ananiheshimu sana kwa hilo. Mabinti ambao bado hamjaanza ngono, tafadhali acheni mpaka pale mtakapokuja kuolewa, inawezekana sana kama ukiwa na msimamo na ukijiwekea malengo.

Itakusaidia pia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa kama cervical cancer na HIV, kama unasoma basi utajikita kwenye masomo yako zaidi na chances za kufanya vozuri na kuwa na kafaniklio kimaisha pia huongezeka.

Lakini pia kwa wale ambao wanamuamini Mungu watakubaliana na mimi kwamba UZINZI ni dhambi,kwa hiyo ukiepuka ngoni kabla ya ndoa unaiepuka dhambi no 6 kwenye ile list ya 10 commandments.

Mwenye masikio na sikie, binti tunza bikira yako mpaka utakapoolewa, usisikilize ushauri wa walioshindwa kuitunza hii TUNU 😘 na wale wanaume waharibifu na wachafuzi.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post