KICHUYA AREJEA SIMBA RASMI


Klabu ya @SimbaSCTanzania, imetangaza kumrudisha tena kikosini mchezaji Shiza Kichuya ambaye alikuwa mchezaji wao kabla ya kumuuza  Pharco Fc ya Misri ambayo nayo ilimtoa kwa mkopo kwenda Enppi Fc.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post