HAJI MANARA AWAKALIA KOONI YANGA KISA REKODI ZA MKWASA
byAdmin-
0
Baada ya klabu ya Yanga kuweka rekodi za ushindi wa Kocha Boniface Mkwasa katika mechi za msimu huu kunako Ligi Kuu Bara, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara ameoneshwa kushangazwa nazo na hakusita kuandika haya yafuatayo.