Inaelezwa kuwa klabu ya Simba imekamilisha Usajili wa beki wa timu ya Taifa ya Tanzania na Klabu ya Coastal Union ya Tanga Bakari Nondo Mwamnyeto.
Taarifa zinasema kuwa beki huyo atabaki Coastal Union kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu na ujao atajiunga na Simba.
Awali watani zao wa jadi Yanga walikuwa wanawania saini ya mchezaji huyo lakini walishindwana dau baada ya kuwa kubwa
Tags
Michezo