Ratiba yote ya AFCON 2019 Tumekusogezea Hapa


Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2019 zipo njiani. Ni takriban wiki moja sasa imebaki ili pazia la michuano hiyo ifunguliwe. Fainali hizo zitaanza rasmi Juni 21 ambapo Tanzania ni moja ya nchi zitakazoshiriki.

Tanzania ipo Kundi C pamoja na timu za Senegal, Algeria na majirani zetu Kenya. Mechi zote za kundi hili zitapgwa Juni 23.

Ratiba yote hii hapa

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post