Msanii Bongo movie afariki dunia


Muigizaji wa filamu Bongo ambaye pia ni diwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo kupitia ACT Wazalendo, Tumaini Bigilimana amefariki dunia hii leo.

Taarifa juu ya kifo chake imetolewa na Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe na kueleza kwamba Bi.Tumaini amefariki akiwa katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Jijini Dar es Salaam. 

Endelea kufuatilia mitandao yetu ya kijamii kwa taarifa zaidi juu ya msiba huu.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post