MECHI ZA LEO ALHAMISI (AFCON2019)-MISRI

#AFCON2019 kuendelea kupigwa leo nchini Misri kwa mechi za Kundi B na C kuchukua nafasi.

 Taifa Stars wanataka pointi tatu ili kuweka hai matumaini ya kufuzu kwa hatua inayofuata.

Usipitwe na fainali hizi za AFCON, Live mwanzo mwisho kupitia chaneli yako ya UTV chaneli namba 108.... Fainali hizi hazitaonekana kwenye AzamTV App kwa sababu UTV haina haki ya kuonyesha mechi hizo kwenye App bali kisimbuzi tu.
#AFCON2019 #UTV

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post