Pengo Stars nyota mwingine Yanga aondolewa kikosini

Pengo Stars nyota mwingine Yanga aondolewa kikosini
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars leo inapaa kwenda nchini Uganda kwaajili ya Mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2019 wakati timu hiyo ikijiandaa kupaa kwenda Uganda imepata pengo.
Pengo hilo ni la Nyota na nahodha wa Yanga Kelvin Yondani ambaye ameumia na daktari wa Timu yataifa Richard Yomba amethibitisha kuwa Yondani hataweza kucheza mchezo huo hivyo hatajumuishwa kwenye kikosi kinachokwenda uganda Leo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post