Amber Lulu akubali yaishe ni penzi lake na Prezzo


Inawezekana penzi kati ya staa maarufu kutokea Nairobi Kenya Prezzo na Amber Lululimefikia ukingoni rasmi? hili ni moja ya swali ambalo wengi wamekuwa wakijiuliza na hii ni baada ya picha na caption aliyoiandika Amber Lulu kupitia ukurasa wake wa instagram leoJuly 2,2018.

Amber Lulu ameandika “Nimechokaaaaa 🙌🙌 maisha mengine yaendelee ya mabwana yamenishinda ngoja nikitulize money first Maana sioni jipya”

Penzi hilo lilionekana kuanza na kuwa waziOctober 2017 na hivyo Amber Luluameonekana kuanika rasmi kuwa kwa sasa yupo single kwani maisha ya kimapenzi yamemshinda kwa sasa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post