KICHUYA AKANUSHA TAARIFA ZA KUONGEZA MKATABA SIMBA


Related image
Juzi moja ya Taarifa zilizokuwa zimeenea kwenye mitandao ya Kijamii ilikuwa ni taarifa za Winga Machachari wa klabu ya Simba Shiza Kichuya Kuongeza mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba.
Taarifa hizo   zilizidi kukoleza kuwa amesaini na baada ya Kusaini amekubali kuungana na timu kwenda nchini Kenya kwenye Sportpesa Super Cup mashindano yaliyoanza jana.
Lakini Kichuya amekanusha Taarifa hiyo na Kusema alichofanya ni kukutana na Viongozi wa Simba na Kuzungumza nao amesema anaenda kenya kama mchezaji huru lakini bado hajaongeza mkataba na kila kitu kusaini au kutosaini kutaeleweka baada ya Sportpesa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post