Haji Manara "Mimi Ndio Msemaji Bora Kuwahi Kutokea Tanzania



"Sisubiri nife ili mnisifu, najijua 'my self' kuwa mimi ni msemaji wa klabu wa muda wote ndani ya nchi hii ya Tanzania kwa vigezo vyovyote vile hakuna hata wa kukaribia robo. Ukibisha lazima wewe ni mwanga" Maneno ya Haji Manara Msemaji wa Simba

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post