VIDEO: Nandy amekuletea Sabuni na Mafuta yanayomfanya aonekane natural

 

Leo May 17,2018 tunayo story kutokea kwa Msanii wa muziki nchini, NANDY, ambapo ametangaza rasmi bidhaa zake mwenyewe zikiwa na jina lake ikiwemo Sabuni na Mafuta.
Nandy anatueleza imekuaje hadi na yeye ameamua kujitosa katika masuala ya kibiashara…licha ya kuwa bado ni msanii.>>> Bonyeza PLAY hapa chini kutazama

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post