Fahamu kwamba video queen wa wimbo wa kwanza wa Diamond platnumz alikuwa dada yake Esma Platnumz,kwa nini Esma? ni kwamba wadada ambao aliwaalika Diamond kufanya hiyo scene hawakutokea kutokana na dharau kwa kuwa jamaa hakuwa staa wala Handsome
Ndipo Dada mtu akaombwa kucheza hiyo part na akaimudu sana (halafu Esma alikuaga mzuri kishenzi)...naamini hao wadada waliomtosa D leo hii wanatamani hata kushikana nae mkono tu,Maisha safari ndefu sana tusidharauliane.
Najua ulikuwa hujui ila mimi nakujuza kidogo tu..
Angalia hii kuanzia dakika ya 3:10
VIDEO:
TAZAMA KAMWAMBIE..
=>BOFYA HAPA KUINSTALL/DOWNLOAD