Habari kutoka katika ukurasa rasmi wa FIFA World Cup umeripoti kuwa kutoka kambi ya timu ya taifa ya Misri ni kuwa staa huyo atakuwa tayari kwa ajili ya fainali za Kombe la dunia baada ya kuwepo kwa hofu ya jeraha la bega lake
Credit :MillardAyoUPDATES
Tags
KOMBE LA DUNIA 2018