Nandy amemuachia Mchumba wake apange tarehe ya harusi yao



Leo May 17,2018 tunayo story kutokea kwa Msanii wa muziki nchini, NANDY, ambapo ametangaza rasmi bidhaa zake mwenyewe zikiwa na jina lake ikiwemo Sabuni na Mafuta…
Katika uzinduzi huo Nandy aliulizwa ni lini yeye atafunga ndoa >>> Bonyeza PLAY  hapa chini kusikia na kutazama jibu alilotoa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post