JOTI KAZUNGUMZA: Ni kweli Rais Magufuli kamsaidia nyumba yake isivunjwe.?


Mchekeshaji Joti amezungumza na Ayo Tv na moja ya suala alilozungumzia ni pamoja na ishu ya kuvunjwa nyumba yake pamoja na kutaniana mitandaoni na mchekeshaji mwenzake Masanja je walishawhai kugombana..? Yote amezungumza hapa. PLAY hapa chini kumtazama JOTI akizungumza.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post