Tazama Picha Kutoka Katika Sherehe ya Ali Kiba na Abdu Kiba Usiku wa Jana


Leo ndio ule usiku tuliokuwa tukiusubiria sisi mashabiki wa muziki mzuri.
Maharusi washaingia ukumbini, kwa sasa First Lady Mstaafu, Bi Salma anawapa vijana mawaidha.
Kuna watu maarufu wengi wamehudhuria kutoka Tanzania na Kenya pia.
Tuwatakie maisha mema vijana hawa 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post