Mwigizaji Monalisa Kutoka Bongo Movie Ameitoa Tanzania Kimasomaso Baada ya Kushinda Tuzo ya Best Female Movie Star in Africa huko Nchini Ghana...
Baada ya Kushinda Monalisa Ameandika yafuatayo kupitia Instagram:
From @monalisatz - Hahahaha Pozi LA Taifa.I had to do this kabisaaaaaaa
Tumeshindaaaaaaa narudi home na Tuzo za kutosha.Ahsante Watanzania,Nawapenda mno.
Tags
WASANII