Rais Magufuli Awajibu Wanaosema Dangote Amefunga Uwekezaji Mtwara


Rais John Magufuli leo March 19, 2018 amevishukia vyombo vya habari vya kimataifa zinavyoandika kuwa Mfanyabiashara mkubwa Afrika Aliko Dangote amefunga uwekezaji wake kwenye kiwanda chake cha Cement kilichopo Mtwara nchini Tanzania.

Rais Magufuli ameeleza kuwa taarifa hizo ni za uongo, na ukweli ni kwamba kuna mashine yake imeharibika na alikuwa na matatizo na management yake hivyo ameanza kufanya mabadiliko madogo ya watendaji wake hao wa kiwanda hicho.

“Katika biashara yoyote, kuna vita, panaweza kuwa hata na vita kati ya taifa na taifa kuhusiana na biashara lakini niwaambie tu kuwa Tanzania ni sehemu bora ya kufanya uwekezaji.” – Rais Magufuli

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post