ZITTO KABWE: "Kuna watu wanajaribu kudukua Akaunti zangu za Mitandao ya kijamii

Mbunge Zitto Kabwe amesema kumefanyika majaribio ya kudukua Barua Pepe zake na Akaunti zake za mitandao ya kijamii.

Amesema majaribio hayo hayajafanikiwa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post