Homekitaifa Scorpion ahukumiwa kwenda jela miaka 7 byAdmin -22 January 0 DAR: Mahakama ya Ilala leo imemhukumu Salum Njwete maarufu kama 'Scorpion' kifungo cha miaka saba jela na fidia ya Shilingi milioni 30 baada ya kukutwa na hatia ya kujeruhi na wizi. Tags kitaifa Facebook Twitter