URUSI: Kiwanda kimoja cha silaha kimeunda silaha ya aina yake(SVLK-14S Sumrak) kwa ajili ya udunguaji(Sniper Riffle), ina uwezo kumdungua adui ambaye yupo umbali wa Kilomita 4.
Itatumia risasi aina ya 408 CheyTac (10.3mm) ambayo huchomoka kwa spidi ya mita 900 kwa sekunde.

Tags
Kimataifa