Picha: Muonekano wa Mwanamziki maarufu nchini Marekani 'Beyonce' akiwa bila make up


Muimbaji staa na ambaye ni mama wa watoto watatu Beyonce amenaswa na camera za mapaparazi akiwa katika muonekano ambao ni mara chache kumkuta akiwa katika matembezi yake bila kupaka make up.

Beyonce katika muonekano ambao anapenda kuonekana nao public

Beyonce amenaswa na camera za mapaparazi akiwa West Hollywood California baada ya kumaliza mazoezi ya gym, akiwa katika muonekano ambao mara nyingi hapendi kuonekana nao public akiwa hajapaka make up.

Baada ya kutoka Gym Beyonce alionekana akiwa katika mavazi ya Gym na kabeba kikontena chenye keki ndani yake.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post