HomeAfrika Mwanamziki wa zamani nchini South Afrika afariki dunia byAdmin -23 January 0 AFRIKA KUSINI: Mwanamuziki maarufu wa Jazz, Mzee Hugh Masekela amefariki leo akiwa na umri wa miaka 78. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa saratani kwa muda mrefu. Aligundulika kuwa na ugonjwa huo tangu mwaka 2008. Tags Afrika Facebook Twitter