KILOSA, MOROGORO: Idadi ya watu walioathiriwa na mafuriko ya mvua katika kata 11 za vijiji 16 imeongezeka kutoka kaya 1,831 zilizokuwa na watu 7,261 na kufikia kaya 2,701 zenye watu 9,345.
Mafuriko hayo pia yamesababisha uharibifu wa barabara, madaraja na nyumba 377 zimebomoka.
Tags
kitaifa