Mini bus iendayo Mkata yatumbukia kwenye mto Wami. Inasemekana watu watatu wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa. Fahari News itawaletea taarifa zaidi kadiri zinavyotufikia.
Bado tunafuatilia kiundani zaidi ukweli wa Habari hii
Mpemba Blog....
Jishindie vocha kwa kudownload App yetu sasa
Tags
kitaifa