Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Pilipili za Chile haitoi tu ladha nzuri mdomoni bali pia ina capsaicin kemikali inayochochea kutolea kwa endorphins kwenye ubongo inayomfanya mtu kujisikia vizuri.
Mtu akiwa na furaha anaweza kufanya tendo la ndoa kwa mafanikio makubwa.
Tags
Afya