Dr Shein "Nitaondoka Nikimaliza Muda Wangu wa Kikatiba, Swala la Miaka 7 Nalisikia tu Mimi Halinihusu"

Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema atatoka madarakani pindi atakapomaliza muda wake wa kikatiba na kwamba habari za kuongeza muda kuwa miaka 7 hata yeye amezisikia. Dr Shein amesema swala la kuongeza muda linajadiliwa na Baraza la Wawakilishi na kamwe hawezi kuwaingilia maana huenda wanajadili muhula wa Rais atakayemfuatia. Dr Shein ameyasema hayo akiwa airport mara baada ya kuwasili akitokea ziarani katika nchi za falme za kiarabu.

Source ITV habari!

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post