CHINA: Waislamu elfu 10 wanashililiwa kwenye Kambi za Kikomunisti


Waislamu zaidi ya 100,000 kutoka jamii ya Uighur wanashikiliwa kwa nguvu katika kambi zenye msongamano mkubwa ambapo wanafunzwa itikadi za Kikomunisti.

Nchini China idadi ya Waislamu ni takribani milioni 10 ambao wanatokea katika kabila la Uighur huko mkoa wa Xinjiang. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post