#TANZANIA: Bunge kuanza kukutana kesho tarehe 30 Januari, 2018 mjini Dodoma.
Kubwa katika mkutano huo wa kumi ni mjadala kuhusu, Muswada wa Sheria wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma wa mwaka 2017(The Public Service Social Security Fund Bill, 2017).

Tags
kitaifa