Leo January 9, 2017 Muslim Hassanali
ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amehamia rasmi Chama cha
Mapinduzi (CCM) ambapo amepokelewa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara
Philip Mangulla Pugu jijini Dar es Salaam.
Hassanali pia aligombea ubunge wa Jimbo la Ilala kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kwa tiketi ya CHADEMA.