Home Alichoandika Mr. Blue kuhusu binti ake. byAdmin -07 January 0 Dada enu inabidi aanze kupambana na elimu sasa. Maana babaake kuikacha elimu haimaanishi na wanangu wasisome 😂 inshallah wanangu watasoma mapaka wakute kibao kilichoandikwa hapa ndipo mwisho wa elimu anaishi 😂 Facebook Twitter