HomeAfya Wazazi wa wanafunzi 55 kukamatwa kisa "Mimba" huko Tandahimba byAdmin -27 December 0 TANDAHIMBA: Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya imegiza kukamatwa kwa Wazazi wa Wanafunzi 55 waliopata ujauzito na kuacha Shule miaka miwili iliyopita Agizo hili limetolewa ili iwe fundisho kwa Watu wengine Wilayani humo | Soma Tags Afya Facebook Twitter