Wanajeshi 14 walinda amani huko Congo wauwawa na wengine 44 kujeruhiwa vibaya

DR CONGO: Taarifa kutoka Kivu Kaskazini zinaarifu kuwa takribani wanajeshi walinda amani 14 kutoka Tanzania wameuawa katika shambulio leo
> 44 wamejeruhiwa na 2 hawajulikani walipo

Soma zaidi > https://t.co/wv1ucpZln2 https://t.co/ECaHO9gAJ8

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post