Joel Bendera hatunae tena

Aliyekuwa waziri wa zamani wa michezo na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mh.Joel Bendera afariki dunia mapema jioni ya leo katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili alipokuwa akitibiwa.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post