Wachezaji wa Zanzibar Heroes wapewa Mil 3 kila Mmoja na Rais wa Zanzibar
byAdmin-
0
Raisi wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dr. Ally Mohamed Shein ametoa zawadi ya milioni 3 kwa kila mchezaji wa Zanzibar Heroes mapema leo, huku wakati huo huo Dr. Shein amewapa vijana hao viwanja vya ujenzi kila mmoja wao mapema leo.