UDART WATOA OFA YA KUPANDA BURE

Wakazi wa Dar es Salaam jana jioni walitumia usafiri wa UDART bila kulipa baada ya kuwepo kwa tatizo katika mfumo wa malipo. UDART wamesema tatizo lilidumu kwa saa 2 na hawakuweza kusimamisha usafiri sababu ni haki ya wananchi.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post