TRA imeanza kumchunguza rasmi Mch.Kakobe

Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere amesema Mamlaka hiyo inafanya uchunguzi wa Mali zinazomilikiwa na Askofu Zakaria Kakobe kutokana na kauli yake ya kuwa ana hela nyingi kuliko Serikali, ili kubaini vyanzo vya utajiri wake na kama analipa kodi.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post