TCRA yashusha bei za kupiga simu kutoka Tsh 22 hadi...

Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA) yashusha gharama za kupiga simu kutoka Sh. 26.96 kwa dakika moja hadi Sh.15.60 kuanzia 2018.

> Mkurugenzi wa TCRA, Mhandisi James Kilaba amesema gharama hizo zitaendea kupungua kila mwaka hadi kufikia Sh. 2 mwaka 2022 | https://t.co/A01HScsLhg
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post