Anaitwa Fr. Urbanus Ngowi wa Jimbo la Moshi
Amefumaniwa baada ya kuwepo uvumi wa siku nyingi kwamba yeye na Mama P wana uhusiano wenye kutilia mashaka
KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Padri Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kkufumaniwa na mke wa mtu wakiwa uchi
Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu
aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Sakata la
fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa
padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi
inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa
jina la kijamii la Mama P.Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza
humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!Habari zinadai siku
ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi
ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo
kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.
“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.
“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.
Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.
Chanzo
kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa
Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.Chanzo: Sasa
siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father
Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio
ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.“Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani.”
Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.
Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.
Habari
zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka
kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya
Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya
Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.Inadaiwa kuwa baada ya
tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake
lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi,
alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa
adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.Hili ni tukio kubwa na
la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake
kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake!
Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.
Kuna
madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake
alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba
amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.Taarifa zilidai
kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu
unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina
mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.Hayo
ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za
tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri
huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.
Tags
Udaku