Mbowe: " Kama Serikali Inaona Upinzani ni Hasara Basi Waufute"

 Image result for freeman mbowe images jpg

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kama serikali na CCM wanaamini upinzani ni hasara kwa nchi wana wingi wa kutosha katika bunge, wapitishe sheria wavifute.

Amesema pia viongozi wa dini wana uhuru wa kutoa mawazo yao na wana wajibu wa kusema, wakiona serikali au vyama vya upinzani vinakosea

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post