MWANAUME APOTEZA FAHAMU.BAADA YA KUGUNDUA NYUMBA WALIYOPANGA KWA MIAKA KUMI NI YA MKEWE

MWANAUME APOTEZA FAHAMU.BAADA YA KUGUNDUA NYUMBA WALIYOPANGA KWA MIAKA KUMI NI YA MKEWE


Kwa ufupi jamaa ameishi na mke wake wakipanga nyumba.

Baada ya miaka kumi akagundua kuwa nyumba waliyokuwa wamepanga ni ya mke wake .... kwa hyo hela yote ya kodi ilikuwa inaingia kwa mke wake bila yeye kujua .

Baada ya kugundua hilo akapata homa, baada ya siku tatu ndipo akazinduka.

Wanaume muishi na wake zenu kwa akili zaidi.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post