Mo Dewji amtaka OMOG kujiuzulu

Kutoka katika Twitter akaunti yake mmiliki wa Simba SC Mohammed Dewji(MO) amemtaka kocha mkuu wa timu hiyo OMOG kujiuzulu kufuatiwa na Mchezo wa jana ambapo Simba SC alitolewa katika michuano ya AZFC baada ya kufungwa kwa mikwaju 4-3.
Nini maoni yako wewe kama shabiki wa Simba SC na mdau wa mchezo wa soka hapa Tanzania???

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post