Mbunge wa Chadema aunga mkono juhudi za Rais JPM


MBUNGE MWINGINE AAMUA KUMUUNGA MKONO MH MAGUFULI

Mbunge Wa bukoba vijijini mh.Jason Lweikiza ameamua kumuunga mkono Rais wake JPM kwa kujenga kiwanda cha kusindika nyanya hivyo kupeleka somo kwa WAPINZAN Maana ya kumuunga mkono rais na si kuhama chama

By Mwanakijiji Lugusi/ facebook.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post