Kuvaa Nusu uchi ni jambo la kawaida ulaya

Kumezuka na kijitabia kwa baadhi ya Dada zetu kupiga picha za utupu zenye kuonyesha baadhi ya sehemu zao nyeti .. hii hutokana na kuiga iga kwa wenzetu wa huko magharibi .. Je nini maoni yako katika hili???

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post