Hostoria ya Jerusalemu hiii hapa (Mji mkuu wa Israel)

IJUE HISTORIA YA YERUSALEMU MJI MKUU WA ISRAEL:- Tangu miaka zaidi ya 3000 iliyopita Mfalme Daudi, myahudi- aliiteka Yerusalemu ambapo paliitwa #YEBUSI. Na miaka zaidi ya Elfu nyuma iliitwa SALEMU ambapo Melekizedeki alikuwa Kuhani mkuu. Baada ya kubomolewa kwa mara ya mwisho kama Biblia Takatifu Ilivyotabiri, na Waisrael kwenda uhamishoni, Na mnamo mwaka wa 637 [B.K] Waislamu waliiteka Yerusalemu na mwaka 691 [Baada ya.Kristo] Wakabomoa hekalu lenye msingi ule wa Solomoni na Kujenga msikiti wa Al-qasa- CHUKIZO LA UHARIBIFU. Wafilisti au Wapalestina hawakutoka baada ya Uvamizi. Katika mlima wa hekalu Hako kamsikiti kapo lakini karibuni katabomolewa na patajengwa hekalu takatifu. #KAMATENI WOTE MASIKIO MSIKIE- #YERUSALEMU NI YA Israel. Kama unapinga njoo na maandiko na history. NASHANGAA KURA YA UN inapinga, WAKO WAPI WAJIFUNZE Historia? Tatizo tangu wawe darasa la 2 walikuwa wanafeli somo la historia. Ukianzia Katibu Mwenyewe na wenzie wa UN. SHALOM JERUSALEM-Israel, I STAND FOR ISRAEL! AMEN AMEN AMEN. #Share

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post